Mungu anakupenda tena anakupenda Ndio maana waishi mpk leo hii Sio kwamba wewe ne mwema sana Au unafaa sana Ni mapenzi yake mungu baba yetu anamakusudi na maisha yako Sio kwamba wale waliozaliwa vipfu viwete na vizwi walitenda dhambi sio kwamb wale walikufa kwa ajali hawafai mbele xake mungu mbona ww miaka ypte umeesafiri kwa gari umefika salama na wengine wanalia nchi zao wanuana ovyo wanakimbia ovyo sio kwamba ww bora kuliko wao. Sio kwamba ww wazaz walitoa hongo kwake mungu baba iki uzaliwe mzuri sio kwamba tanzania unamkataba na munhu uwe na amani mpk lwo hii sio kwamba unajeshi jzuri