Kishore Kumar Hits

Ambwene Mwasongwe - Kuaminiwa Na Mungu şarkı sözleri

Sanatçı: Ambwene Mwasongwe

albüm: Misuli Ya Imani


Nakumbuka nikiwa mdogo mimi na ndugu zangu .tulikaa mezani
Tulitembelewa na mgeni mwenye rika kama ye2 akaambiwa aombee chakula
Aliiomba maombi mazuri wote tulifurahiaa
Sio kwamba tulikua hatuombi ila tuliomba kwa kukariri
Wazazi wetu waliposikia wakatunong'oneza ...tunataka nanyi mokoke muombe kama hiviiii
Kwa wakat huo hatukujua nn maana ake
Labda kwakua tulkua wadogo
Kumbe mungu mbonguni anafuatiliaa
Aliona shahuku ya wazaziii
Leo hiii tumeshaokokaaaaa*2
Nikikumbuka hua nacheka wakati mwingne naliaa njia yangu haikua rahisi .nilisoma sana neno lamungu.nikajihurumia mwenyewe .yako wap matendo ya Mungu yalio hadithiwa humoooo
Kwa huzuni nikaamua kufungaa ili nimueleze .nataka kujiuzulu hudumaaa...
Maana majaribu kwangu hayaishi na ninazidi kuchakaa... ni bora uwape watu wengineeee.mzigo huu kwangu ni mzito kwangu kwanza mimi ni mdogooo
(Ambweneee!!)
Hivi unamugomea nanii
Nimekupa kazi ya kufanyaaaa
Ili ukishinda unavikwa tajiii
(Hiv ujui majaribu ni mtajiiii)
Embuuu songa mbelee
Sasa nimejua siri ya Mungu vile anavyotujaliiii
Yeye huona tusivyovionaa
Huviona vikwazo vilovyombele hapendi tuangamieeeee
Ndio maana hutuandaa mapemaa
Tungefukuzaje maadui elfu bila kuanza na mmoja
Yeye ashikapo kipimo chake apate kutujaribu kigezo chake ni uaminifuuu
Hutumia mambo madogo madogo tuyaonayo halali ilikupima uaminifu wetuuu
Angetuwekaje kwenye mambo makubwa ikiwa madogo hatuweziiiiiii
(Nimegunduaa)
Ni jambo moja kumwamini munguuu
Nikitu kingine yeye kukwamini
Mpaka akwite rafiki yake, akuonyesheee mbele za shetani
Yahitaaaji uaminiiifuuuuu*2
Nilitiwa moyo na haya yotee.nikamwazimishaa yeye
(Ni wew bwana)
Ni wew niwewe(uliefanya haya yote) niwewe (ulieniokoaaa)
Ni wewe bwanaaaaa * 2
Haleluyaaa
Niwewe ulinitoa mbali
Niwewe ulienishika mkono
Ni wewe ulienivusha majaribu
Ni wewe ulieniinua
Ni wew bwana wanguu ni wew uliefanya yotee
Ni wewe bwana wanguuuu
Ni wewe jemedari wanguu uu
Haleluyaaa!!!

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar