Kishore Kumar Hits

Ambwene Mwasongwe - Chozi la haki şarkı sözleri

Sanatçı: Ambwene Mwasongwe

albüm: Ombi Langu


Bado na Kumbuka mahono
Niliyo yahona zamani
Naliona bwana ameketi
Aki zungukwa na halaiki
Naliona watu makundi makundi
Waki mwendeya wapewe haki
Tena nali sikiya sauti za vilio
Waki Mmiminiya machozi miguhuni
Nasikiya majina yawatu yakitajwa
Majina ya Inchi majina ya Viongozi
Kutoka Aridhini Misituna ba Majini
Sauti ya damu iki dai kisasi
Naliona wingu jeusi la lahana
Likipafunika kila penye zuluma
Tena naliona malaika wa ole
Wakipiga kelele kuwambiya watu
Ole wako wewe utendaye dhuluma
Ole wako wewe uoneyaye
Ole wako gadhabu inakuja
Ole wako ewe nji ya zuluma
Ole wako inji iyi isiyo na haki
Ole wako watu wanao dhuluma
Ole wako inji iyi isiyo na haki
Ole wako watu wanao
Ole wako inji iyi isiyo na haki
Ole wako watu wanao dhuluma
Nalimwona kijana Jeuri
Aliye muhumiza mwenzake
Aka goma kumuomba msamaha
Akizaniya yuko salama
Naye aka sogeya kwa mungu
Tena aka peleka na sadaka
Ka mwacha ndugu take analiya
Ka mwachiya mahumivu moyoni
Jina lake lika tajwa
Katika walio nganganiwa
Jina lake lika daiwa Hadhabu
Jina lake lika daiwa hukumu
Yesu aka agidha agizo
Niwahamboye watu wake
Warekebishe makosa yao yote
Kabla awaja lipa senti ya mwisho
Hukumu yake ni kali kuliko (.dahi.)
Gadhabu yake ya waka mama moto
Ukitajwa jina lako uta hadhibiwa
Akikishe umelipa senti ya mwisho
Achana haraka na huyu shetani
Achana haraka na huyu shetani
Hata kufukisha pabaya
Hata kufikisha pabaya
Achana haraka na huyu shetani
Achana haraka na huyu shetani
Hata kufukisha pabaya
Hata kufikisha pabaya
Ole wako inchi isiyo nahaki
Ole wako watu wao zulumu
Ole wako inchi isiyo nahaki
Ole wako watu wao zulumu
Ole wako inchii isiyo nahaki
Ole wako watu wao zulumu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar