Uongo si kitu chema Ndugu sikia Utendae hayo wamchukiza Mungu Uongo ni kama moto Ndugu sikia Moto mdogo ndugu Huunguzao mwili Uongo ndugu waweza Kutawanya kundi La kondoo wa Mungu Hiyo ni lazimaa Uongo si kitu chema Ndugu sikia Utendae hayo wamchukiza Mungu Uongo ni kama moto Ndugu sikia Moto mdogo ndugu Huunguzao mwili Uongo ndugu waweza Kutawanya kundi La kondoo wa Mungu Hiyo ni lazimaa Ninakusihi bali katika kila neno Hujitahidi kujipatia sifa njema Ninakusihi bali katika kila neno Hujitahidi kujipatia sifa njema Kama mtumishi wa Mungu Itende haki yake Ninakusihi bali katika kila neno Hujitahidi kujipatia sifa njema Ninakusihi bali katika kila neno Hujitahidi kujipatia sifa njema Kama mtumishi wa Mungu Itende haki yake Mda wa kutenda dhambi Umeshapita siku ya wokovu Ndiyo sasa ndugu Nira ya Mungu iwazi Na uipokee Utajazwa nguvu Umshinde shetani Shetani mdanganyifu Ndugu sikia sikia Angalia sana Usije kosa mbingu Mda wa kutenda dhambi Umeshapita siku ya wokovu Ndiyo sasa ndugu Nira ya Mungu iwazi Na uipokee Utajazwa nguvu Umshinde shetani Shetani mdanganyifu Ndugu sikia sikia Angalia sana Usije kosa mbingu Ninakusihi bali katika kila neno Hujitahidi kujipatia sifa njema Ninakusihi bali katika kila neno Hujitahidi kujipatia sifa njema Kama mtumishi wa Mungu Itende haki yake Ninakusihi bali katika kila neno Hujitahidi kujipatia sifa njema Ninakusihi bali katika kila neno Hujitahidi kujipatia sifa njema Kama mtumishi wa Mungu Itende haki yake