Pangusa machozi yako Futa mavumbi, shangilia Amekuja mtetezi wako Msaada kwa walio na shida Pangusa machozi yako Futa mavumbi, shangilia Amekuja mtetezi wako Msaada kwa walio na shida Uwezo wa kifalme, u mabegani mwake Ameibeba amani yako wewe Uzima wa milele furaha na tumaini Mimi nawe tuwe nayo milele Uwezo wa kifalme, u mabegani mwake Ameibeba amani yako wewe Uzima wa milele furaha na tumaini Mimi nawe tuwe nayo milele Tuwe nayo tele Amani na uzima Tumaini lote Yesu ndiye yote Pangusa (pangusa) machozi yako (pangusa) Futa mavumbi, shangilia (Amekuja)Amekuja (amekuja) mtetezi wako Msaada kwa walio na shida (Pangusa machozi) Pangusa machozi yako Futa mavumbi, shangilia (Amekuja) Amekuja (amekuja Yesu) mtetezi wako Msaada kwa walio na shida (Ukimpa, ukimpa) Ukimpata Yesu moyoni (moyoni) Moyoni (moyoni) moyoni mwako Yesu atakufanya wake yeye Utasahau shida zote (utasahau shida zote) (Ukimpa, ukimpa) Yesu atakufanya wake yeye Utasahau shida zote (utasahau shida zote) (Ukimpa, ukimpa) Ukimpata Yesu moyoni (moyoni) Moyoni (moyoni) moyoni mwako Yesu atakufanya wake yeye Utasahau shida zote (utasahau shida zote) (Ukimpa, ukimpa) Yesu atakufanya wake yeye Utasahau shida zote (utasahau shida zote) Burudani (burudani) moyoni (moyoni) Sina wasiwasi Yesu yupo Burudani (burudani) moyoni (moyoni) Sina wasiwasi Yesu yupo Burudani (burudani) moyoni (moyoni) (Sina) Sina wasiwasi Yesu yupo Burudani (burudani) moyoni (moyoni) (Sina) Sina... Mpokee Yesu na wewe moyoni (moyoni moyoni) Akufanye upya moyo wako (akufanye) Uwe na amani (mpokee Yesu) Mpokee Yesu na wewe moyoni (moyoni moyoni) Akufanye upya moyo wako (akufanye) Uwe na amani (mpokee Yesu) (Mpokee yesu) Mpokee Yesu na wewe moyoni (moyoni moyoni) Akufanye upya moyo wako (akufanye) Uwe na amani (mpokee Yesu) Mpokee Yesu na wewe moyoni (moyoni moyoni) (Akufanye) Akufanye upya moyo wako (akufanye) Uwe na amani Burudani, burudani, burudani Burudani (burudani) moyoni (moyoni) Sina wasiwasi Yesu yupo Burudani (burudani) moyoni (moyoni) Sina wasiwasi Yesu yupo Burudani (burudani) moyoni (moyoni) Sina wasiwasi Yesu yupo Burudani (burudani) moyoni (moyoni) Sina wasiwasi Yesu yupo