Msalabani pa Mwokozi Wapatikaana ukombozi Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Msalabani pa Mwokozi Wapatikaana ukombozi Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Msalabani pa Mwokozi Wapatikaana ukombozi Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Msalabani pa Mwokozi Wapatikaana ukombozi Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Tumesamehewa dhambi hatuna deni Amelipa yote Bwana hatuna deni Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Tumesamehewa dhambi hatuna deni Amelipa yote Bwana hatuna deni Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Unyenyekevu uvumilivu na upendo Huruma nyingi na fadhili kwetu Ni sifa za thamani zake Yesu Msalabani pa Mwokozi Unyenyekevu uvumilivu na upendo Huruma nyingi na fadhili kwetu Ni sifa za thamani zake Yesu Msalabani pa Mwokozi Tumesamehewa dhambi hatuna deni Amelipa yote Bwana hatuna deni Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Tumesamehewa dhambi hatuna deni Amelipa yote Bwana hatuna deni Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Tumesamehewa dhambi hatuna deni Amelipa yote Bwana hatuna deni Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi Ni kazi ya thamani yake Yesu Msalabani pa Mwokozi