Kishore Kumar Hits

Essence Of Worship - Bwana Waweza (Live) şarkı sözleri

Sanatçı: Essence Of Worship

albüm: Bwana Unatawala (Live)


Bwana wewe waweza
Kufanya zaidi ya tuombavyo
Tena wewe waweza
Kutenda zaidi ya tuwazavyo
Kadiri ya iyo nguvu
Itendayo kazi ndani yangu
Bwana wewe waweza
Kufanya zaidi ya tuombavyo
Tena wewe waweza
Kutenda zaidi ya tuwazavyo
Kadiri ya iyo nguvu
Itendayo kazi ndani yangu
Nguvu zote ni zako
Mamlaka yote ni yako
Nguvu zote ni zako
Mamlaka yote ni yako
Ukisema jambo hakuna wa kupinga
Milele yote waweza
Ukisema jambo hakuna wa kupinga
Milele yote waweza
Bwana wewe waweza
Waweza waweza milele
Bwana wewe waweza
Waweza waweza milele
Kwa imani Bwana
Napokea mambo ya rohoni
Kwa imani Bwana
Nayaweza mambo yote
Katika wewe Bwana Yesu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar