Kishore Kumar Hits

Essence Of Worship - Umejawa Utukufu şarkı sözleri

Sanatçı: Essence Of Worship

albüm: Shangilia


Bwana Bwana, Yesu Yesu
Bwana Bwana, Yesu Yesu
Bwana Bwana, Yesu Yesu
Bwana Bwana, Yesu Yesu
Jina lipitalo majina yote Yesu
Alfa na Omega yeye ni Bwana
Mwokozi wa ulimwengu Yesu
Tunalisifu jina lake Bwana
Kila goti linapigwa kwake
Kila ulimi wakiri ni Bwana
Nani mwengine kama wewe
Hakuna mfano wako Bwana
Tunaimba tunasifu kwa neema yako
Kila mwanye pumzi asifu Bwana
Wastahili heshima na utukufu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar