Kishore Kumar Hits

Dr. Ipyana - Vinakamilika şarkı sözleri

Sanatçı: Dr. Ipyana

albüm: Vinakamilika


Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo
Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika
Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo
Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika
Sijui utendavyo, Sijui ufanyavyo
Kile nachojua, ukiamrisha vinakamilika
Yes LORD, We are here, just to declare your word
Ulichosema kule BWANA kwenye maombi yaliyopita,
Tunaamini eeh BWANA kwa neno lako
Yeeh eeeh.
Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo
Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika
Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo
Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika
Unaweza yote, Unaweza yote
Kile nachojua, ukiamrisha vinakamilika
Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo
Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika
Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo
Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika
Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo
Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika
Yeeh eeeh.
BWANA tunakuamini, Neno lako ni mwanga
Neno lako ni taa ya miguu yangu,
Oooh, oooh
Nataka mtamke
Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo
Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika
Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo
Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika
Hallelujah...

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar