Kishore Kumar Hits

Dr. Ipyana - Wanishangaza şarkı sözleri

Sanatçı: Dr. Ipyana

albüm: Praise & Worship Songs (Deluxe Version)


Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
(Fadhili zako)
Fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
(Ubarikiwe milele mfalme)
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
(Now you can be free to dance for the Lord)
(Music)
Wanishangaza Matendo yako ya ajabu
Utukuzwe umetenda mema baba
Wanishangaza Matendo yako ya ajabu
(Matendo yakooo)
Matendo yako ya ajabu
(Utukuzwe baba)
Utukuzwe umetenda mema baba
Wewe ni Mungu uh
Wewe ni Mungu u u uh
(Wewe ni Mungu)
Wewe ni Mungu u uh
Utukuzwe umetenda mema baba
(Utukuzwe)
Utukuzwe umetenda mema baba
(Wewe ni Mungu)
Wewe ni Mungu u uh
(Utukuzwe umetenda mema baba)
Anhaa
(Now let's go again)
(Music)
(Come on)
(Music)
Break
1 2
(Music)
(Music)
Wanishangaza matendo yako ya ajabu
Utukuzwe umetenda mema Baba
(Wanishangaza Bwana)
Wanishangaza matendo yako ya ajabu
Utukuzwe umetenda mema Baba
(Wanishangaza Bwana)
Wanishangazaaa

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar