Kishore Kumar Hits

Dr. Ipyana - Nashangazwa - Reprise şarkı sözleri

Sanatçı: Dr. Ipyana

albüm: Praise & Worship Songs (Deluxe Version)


NASHANGAZWA NA PENDO LAKO
VILE ULIVYO KWANGU
WEMA WAKO
WAZIDI YOTE
WANISHANGAZA
WANISHANGAZA
I'M AMAZED
BY YOUR LOVE
THE WAY YOU'VE BEEN TO ME
YOUR MERCY SURPASSES ALL
YOU'RE SO AMAZING
SO AMAZING
So nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
So nahitaji neema yako
Kushinda vita zote mbele yangu
So nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele Yangu
So nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Maana sitawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe
Nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Maana sitawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar