Kyla gwa kumwanya Kyala gwe gwamaka Ubhaagilee eeh mmh Unaweza unaweza haujawahi kushindwa Unaweza Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa Yesu unaweza Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa Mmmmh Ndiwe ulie umba vyote kwa uwezo wako na kwa neno lako Ndiwe ulie vilinda kwa io neema yako na kwa pendo lako Ndiwe ulie umba vyote kwa uwezo wako na kwa neno lako ooh Ndiwe unae vilinda kwa io neema yako na kwa pendo lako Yesu unaweza Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa Bwana unaweza unaweza haujawahi kushindwa Baba unaweza unaweza Haujawahi kushindwa Hakuna jambo ambalo ni gumu usilo liweza Hakuna jambo ambalo ni gumu usilo liweza Baba unaponya Baba waokoa Unaganga mioyo yetu baba Baba wabarikii, Baba wafarijii Unaganga mioyo yetu baba Watufanya washindi tunashinda katika wewe unaganga mioyo yetu baba Heey unaweza Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa Hata sasa unaweza Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa Bwana unaweza kuinua Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa