Hey eh eh Mmh (MJ records) Aah (mema) Aah (mema) Aah (mema) Aah (mema) Aah (mema) Aah (mema) Aah (mema) Aah (mema) Ni rahisi kukusifu Wakati wa mazuri Ni rahisi kukushukuru Yanapotokea mema Ila ni ngumu kuamini Kuwa hata na magumu Nayo Mungu umeyaruhusu Kwa kuniwazia mema Umeruhusu mazuri Nifurahi tena nikushukuru Na mabaya ili niwe hodari Na kisha nikusifu Mbele umeniwekea fahari Haya ni ya muda tu Macho yangu yatazama mbali Uliko utukufu Yote mema (mema) Yote mema (mema) Hata magumu yana sababu Yote mema (mema) Yote mema (mema) Sitalaumu, sitakufuru Mh, sasa nimejua kuwa Wewe uliyenipa samaki Ndiwe pia umetaka wakati mwingine Nipate nyoka Tena nimejua kuwa wewe Uliyenipa mkate Ndiwe pia umetaka Wakati mwingine nipate jiwe Umeruhusu mazuri Nifurahi tena nikushukuru Na mabaya ili niwe hodari Na tena nikusifu Mbele umeniwekea fahari Haya ni ya muda tu Macho yangu yatazama mbali Uliko utukufu Yote mema (mema) Yote mema (mema) Hata magumu yana sababu (yana sababu) Yote mema (yote mema) Yote mema (mema) Sitalaumu (sitalaumu), mimi sitakufuru (sitakufuru) Aah, eeh Aah, Nimejifunza kuwa na shibe tena Nimejunza kuwa na njaa tena Kuwa nacho hata kutokuwa nacho (Aah, ah) Najua yote yanafanya kazi (kazi) Ili kunipatia mema (mema) Yamefanyika kama ngazi ya mimi kupanda Yote mema (aah) Yote mema Hata magumu yana sababu (yana sababu) Yote mema (yote mema) Yote mema (yote mema) Sitalaumu (sitalaumu), mimi sitakufuru (sitakufuru) Machozi yana sababu (yote mema) Kilio kina sababu (yote mema) Kuachwa kuna sababu (hata magumu) Hata magumu (yana sababu) Yana sababu (yote mema) Yote ni mema (yote mema) Yote ni mema Sitalaumu (mimi sitalaumu), sitakufuru (sitakufuru) (Yote mema) kuachishwa kazi ni sababu (yote mema) Kutelekezwa ni sababu (hata magumu) Ey, yana sababu (yana sababu) Kweli yana sababu (yote mema) Kudharauliwa ni sababu pia (yote mema) Yote mema Sitalaumu (mimi sitalaumu), sitakufuru Eh, eh (mema) Yote (mema) Ni mema (mema) Ni mema (mema) Ninashukuru kwa yote (mema) Naiona sababu (mema) Ya magumu pia (mema) Nakushukuru kwa mazuri pia (mema) Aah, (MJ Records)