Kishore Kumar Hits

Joel Lwaga - Ngome şarkı sözleri

Sanatçı: Joel Lwaga

albüm: Thamani


Ghafla ni kiza na nyota za mwanga hakuna
Kila lilokuwa jema kwa macho limegeuka
Mali na fedha na vitu vya thamani vimetoweka
Marafiki na wote walionipenda wamepotea
Giza mara hii limetawala
Jua limezama mchana
Mwezi umegoma kutoka
Gharika na mvua kucheki inazama
Nuru toka ndani yamulika
Nguvu ndani yangu yainuka
Amani ipitayo akili
Na nguvu za mwili inanipa kucheka
Aliye ndani yangu
Ni mkuu sana kuliko walimwengu
Ndiye ngome yangu
Na ushindi wangu katika majaribu
Mimi sitaki mwingine ndiye anayenifaa
Sitaki mwingine ninaye tu
Mimi sitaki mwingine ndiye anayenifaa
Sitaki mwingine ninaye tu
Nilidhani furaha ni watu wakikusifu
Kumbe furaha ni Yesu moyoni yakikusibu
Udhamani haupo kwa vitu visivyodumu
Lla ni nguvu ya kutabasamu hata patupu
Giza mara hii limetawala
Jua limezama mchana
Mwezi umegoma kutoka
Gharika na mvua kucheki nazama
Nuru toka ndani yamulika
Nguvu ndani yangu yainuka
Amani ipitayo akili
Na nguvu za mwili inanipa kucheka
Aliye ndani yangu
Ni mkuu sana kuliko walimwengu
Ndiye ngome yangu
Na ushindi wangu katika majaribu
Mimi sitaki mwingine ndiye anayenifaa
Sitaki mwingine ninaye tu
Mimi sitaki mwingine ndiye anayenifaa
Sitaki mwingine ninaye tu
Nimesimama imara (Eeh)
Hofu imeteka nyara (Eeh)
Rohoni niko salama (Eeh)
Na Yesu mwamba imara (Eeh)
Nimesimama imara (Eeh)
Hofu imeteka nyara (Eeh)
Rohoni niko salama (Eeh)
Na Yesu mwamba imara (Eeh)
Giza mara hii limetawala
Jua limezama mchana
Mwezi umegoma kutoka
Giza mara hii limetawala
Jua limezama mchana
Mwezi umegoma kutoka
Gharika na mvua kucheki nazama
Nuru toka ndani yamulika
Nguvu ndani yangu yainuka
Amani ipitayo akili
Na nguvu za mwili inanipa kucheka
Aliye ndani yangu
Ni mkuu sana kuliko walimwengu
Ndiye ngome yangu
Na ushindi wangu katika majaribu
Mimi sitaki mwingine ndiye anayenifaa
Sitaki mwingine ninaye tu
Mimi sitaki mwingine ndiye anayenifaa
Sitaki mwingine ninaye tu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar