Baba, umejua kunifurahisha Baba aah! Umenifuta machozi Daddy oh! Umejua kunifurahisha Baba aah, nitakusifu milele Baba... Baba, (baba) umejua kunifurahisha Baba, (baba) umenifuta machozi Daddy oh, (daddy) umejua kunifurahisha Baba aah, nitakusifu milele Uhm...! Umerudisha tabasamu langu usoni Umerejesha na furaha yangu moyoni Umenijibu kwa wakati nisiyodhani (yeah) Baba, umejua kunifurahisha Niliyeitwa laana, nimefanyika baraka Niliyeonekana sifai, umeniheshimisha Umenipa sababu ya kujidai na kukutukuza aah Baba, umejua kunifurahisha Hey baba! Baba... (Baba) umejua kunifurahisha (baba yangu baba) Baba umenifuta machozi (Kweli daddy ooh...) Daddy oh, (daddy) umejua kunifurahisha Baba, (baba) nitakusifu milele Baba yangu baba Baba umejua kunifurahisha (Yesu wewe) Baba umenifuta machozi (umeondoa aibu yangu) Daddy ooh... Daddy oh, (daddy) umejua kunifurahisha (Eeih baba) Baba nitakusifu milele Father to the fatherless! Look at what you've done for me You've done for me! You wiped the tears from my eyes, Lord! Look what you've done for me eeh! The chains and shackles that held me bound, you have cut it all away Oh what a life! The beautiful life you've given me Baba umejua kunifurahisha Baba nitakusifu milele Ooooooh!! Baba, umejua kunifurahisha (baba)! Baba, umenifuta machozi (daddy ooh)! Daddy oh, umejua kunifurahisha (oooh! baba) Baba, nitakusifu milele Baba, umejua kunifurahisha (you've turned my life around), Baba, umenifuta machozi Daddy oh, umejua kunifurahisha (Baba baba baba) Baba nitakusifu milele Eey! umejua kunifurahisha (baba... oooho) Baba umejua kunifurahisha (baba... oohho) My mother couldn't do it, my father couldn't do it (baba... oohho) You dig me out from the other way Daddy ooh, umejua kunifurahisa And you set my feet on the ground to stand (baba... ooho) Kweli umeondoa aibu yangu baba (baba... ooohh) Umenifuta machozi yangu, Jesus! Eei! Daddy oh, (daddy) umejua kunifurahisha Amani yako imenihifadhi baba (Baba... ohho...) Kweli umejua kunifurahisha (Baba... ohho) Oooh ooh oooh! (baba... ooh) baba!! Daddy ooooh (daddy) umejua kunifurahisha Hallelu... Hallelujah