Maisha haya, ninapita tu Hali hii ya sasa ni kwa muda tu Ushindi wangu, u karibu nami Mtetezi wangu, yu hai Sitabaki kama nilivyo Sitabaki kama nilivyo Sitabaki kama nilivyo Sitabaki kama nilivyo Silalamiki, wala sikufuru Najua ni darasa napitishwa Imani yangu ipo kwenye kipimo Najua nitapita tu Sitamani ya wengine wala sijilinganishi Najua wakati wangu upo Siogopeswi na mapito ninayoyapitia Namwamini yule aliyeruhusu nipite Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo) Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo) Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama) Sitabaki kama nilivyo (hali hii ni ya muda) Sitabaki kama nilivyo (hali hii hapa napita tu) (Kweli ninavuka) Sitabaki kama nilivyo (kuna mahali ninakwenda) (Eeeh sitabaki kama...) Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo) Sitabaki kama nilivyo (nilivyo) Mtetezi wangu yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Eeeh mtetezi wangu yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Hey mtetezi wangu yu hai (yu hai) Anaishi (yu hai) Yu hai (yu hai) Sitabaki kama nilivyo (nilivyo) Mtetezi wangu yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Hey mtetezi wangu yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Kweli mtetezi wangu yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Yu hai (yu hai) Sitabaki kama nilivyo (nilivyo) Sitabaki kama nilivyo (kweli nitashinda tu) Sitabaki kama nilivyo (siumii na hali hii) (Nafurahishwa na ile ijayo) Sitabaki kama nilivyo (hey kama, sitabaki hivi) Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama) Sitabaki kama nilivyo (giza huwa nene alfajiri) Sitabaki kama nilivyo (asubuhi yangu yaja) Sitabaki kama nilivyo (kweli nitainuka tu) Sitabaki kama nilivyo (bwana yuko nami nilivyo)