Usipigane Vita ni ya bwana Ukipigana anatulia Ukitulia anapigana Usipigane Vita ni ya bwana Ukipigana anatulia Ukitulia anapigana Acha kutarajia, ishundi Kwa nguvu zako mwenyewe mmh mmmh Vita ni ya mungu Mwache ye atakupigania tu Acha kuhangaika, na wanadamu Ili kuongeza jeshi lako eh eh eh Hao ni wanadamu,ni watu tu Watakuhunisha tu eh eh eh Alimwanbia musa waambie Israel Watulie waone wokovu wangu wangu leo Maana wamisri hawa wanaowaona leo Hawatawaona tena eh eh eh Yesu nae kajiita bwana wa sabato Sabato maana yake pumziko Tabasamu katikati ya mapito Ukimwamini bwana Usipiganeee Usipigane Vita ni ya bwana Ukipigana anatulia Ukitulia anapigana Usipigane Vita ni ya bwana Ukipigana anatulia Ukitulia anapigana Kuna yale Ya wewe kufanya Na kuna yale ya mungu kufanya Usimsaidie Yale yak wake maana hautaweza Usitikiswe na uhalisia Usiyumbishwe na mazingira Iwe unaona, au huoni Ye anapigana eh eh eh Usiogope ile ripoti ya dakitari Usiogope lile deni la ile benki Usiogope ile kesi mahakamani Anakupiganiaa Usiogope utavaa shela lako Usiogope udogo wa kanisa lako Usiogope maneno na fitna zao Vita ni ya bwana Usipiganeeeee eeeeeh Usipigane Vita ni ya bwana Ukipigana anatulia Ukitulia anapigana Usipigane Vita ni ya bwana Ukipigana anatulia Ukitulia anapigana Usipigane Vita ni ya bwana Ukipigana anatulia Ukitulia anapigana Usipigane Vita ni ya bwana Ukipigana anatulia Ukitulia anapigana