Hii nyimbo inaweza kosa kutrend Waseme haina Wow factor Wanadai mamresh kwa video, Wanataka maboom boom twaff Naomba ningepata, Huyo mmoja ambaye amechoka Anahisi there is more to Life, Kwa hakikii hii nyimbo itamfaa Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu Umguzee Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu Umguzee Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee Amechoka na addiction za majani, Mavela tindi kali Kuwaleta kejani... mfungue Sister amechoka na Kubebwa kimandazi Kutumika na machali, Anatamani awe wifey, One day Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu Umguzee Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu Umguzee Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu Umguzee Tizama alivyokuja, Asirudi VileeeHiyo Nafsi moja tu, Shuka tu Umguzee Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji... Mchungaji Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji, Mwemaa Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji... Mchungaji Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji, Mwemaa