Kishore Kumar Hits

Godfrey Steven - Kunikamilisha şarkı sözleri

Sanatçı: Godfrey Steven

albüm: Kunikamilisha


Nyakati za giza nene,
Stress kichwani akawa defender,
Kanijaza nguvu barabara
Na moyo kajachanua ndipo
Kanieleza tabu zote
Za zamani lengo lake ni
Kunikamilisha
Napokuwa mfalme humtumia
Bwana kwa fadhili zake aliyejuu
Sitaogopa ndipo kanieleza
Magumu niliopitia hilo lengo
Lake ni kunikamilisha
Ni jemedari
Mwana wa Mungu
Mfalme mkuu kanielekeza
Shida zote nilizo pitia
Lengo lake ni kunikamiisha
Say a daddy we
Aaaaaah kunikimili
Aaaaaah kunikamilisha
Natazama iliandikwa
Iije pata timia
Nayapo mengi yaliandikwa
Juu yangu yatakujatimia
Kuna tetesi zasema
Mbuyu ulianza kama mchicha
Je,wajua namba tatu haezi kuwa
Tatu Bila kuanza na moja
Safari ya maisha yangu
Baba najua kuna mengi
Umeniandalia napasa
Kuwa mstaarabu mwenye
Hekima hakika nitafika,
Tena Mungu wa milimani
Ndiye pia ya bondeni ahadi
Zake ni kweli Baba
Nimejuwa taabu zote
Za zamani lengo lake si kuniuwa
Bali kunikamilisha,bali kunikamilisha

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar