Kishore Kumar Hits

Godfrey Steven - Milele şarkı sözleri

Sanatçı: Godfrey Steven

albüm: Milele


Sifa ya mpishi kupika chakula kiive
Sifa ya dereva abiria wafike
Sifa ya msomi ni kusoma ili afauru
Je waijua io sifa yake mungu
Amewekeza yaliyomengi mazuri ndani
Sababu anayo Imani na wewe
Kushindwa timiza aliokupa uyo bwana
Ni kumuangusha uyu mungu eemama
Milele milele wewe si wakawaida
Milele milele baba mama kazana
Ukiona bahari basi jua awezafanya njia
Ukiona ukame wejua awezaleta mvua
Ukiona njaa anauwezo wa kukupa chakula
Eeeh mama eeeh baba mwamini tuu
Kama njia ni ngumu wahisi kama uwezipita ni miba
Weee rudi anatamani umshirikishe
Ameshategua mitego yako mingi kitu gani
Aitwa mungu amewekeza vikubwa ndani mwako
Milele milele wewe si wakaida
Milele milele baba mama kazana
Milele milele wewe si wa kawaida
Milele milele baba mama kazana

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar