Kishore Kumar Hits

Angel Benard - Siteketei şarkı sözleri

Sanatçı: Angel Benard

albüm: Nikumbushe Wema Wako

Mi siteketei siangamiii
Sigharikishwi upo nami
Mi siteketei siangamiii
Sigharikishwi upo nami
Upimwi kwa siku upimwi kwa miaka
Huna hata Siri majira
Uzuiwi na muda
Umejawa na nguvu
Ndio maama nakuita baba
Moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri katika wewe
Hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako nasimama
Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
Nimezungukwa nawe kila upande hakuna jambo la kuniangamiza
Majeshi yalo upande wangu
Ni mengi sana kuliko hawa wa dunia
Hatua zangu zaongozwa nawe
Siangamii siteketei
Katika wewe Nina simama
Siteketei na nina dumu
Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
Kwako bwana nasimama
Tiba mwamba ni salama
Kwako bwana nasimama eh eh eh
For they that believe in you
We shall stand firm forever forever

Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar