Kishore Kumar Hits

Kanjii Mbugua - Wewe Unami şarkı sözleri

Sanatçı: Kanjii Mbugua

albüm: Rauka


Maji yake yanifariji
Fikira zinapozidi
Wewe Unami
Wewe Unami
Msalaba ndio daraja
Navuka niandame Jehovah
Wewe Unami
Wewe Unami
Atembea nami
Anishika mkono
Kivuli chake chanizunguka
Atembea nami
Anishika mkono
Kivuli chake chanizunguka
Wewe Unami
Wewe Unami
Wewe Unami
Wewe Unami

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar