Kishore Kumar Hits

Kanjii Mbugua - Ebenezer şarkı sözleri

Sanatçı: Kanjii Mbugua

albüm: Rauka


Amesema hataniacha hadi mwisho wa bahari,
Amesema ana nia nzuri ya kunipa tumaini.
You are lord of my life and your promises are true,
Nitakuamini, ahadi zako ni za milele.
Acha waseme watayosema,
We ni Ebeneza kwangu,
Waniongoza maishani hakuna mwingine
Kama wewe.
Amesema nikiwa kwa shida,
Yeye ndiye kimbilio langu,
Amesema nikiwa kwa vita,
Atakuja kunipigania.
You are lord of my life and your promises are true,
Nitakuamini, ahadi zako ni za milele.
Wacha waseme watayosema,
We ni Ebeneza kwangu,
Waniongoza maishani hakuna mwingine,
Kama wewe
Acha waseme watayosema,
We ni Ebeneza kwangu,
Waniongoza maishani hakuna mwingine
Kama wewe.
You are lord of my life and your promises are true,
Nitakuamini, ahadi zako ni za milele.
Wacha waseme watayosema,
We ni Ebeneza kwangu,
Waniongoza maishani,
Hakuna mwingine,
Kama wewe
Acha waseme watayosema,
We ni Ebeneza kwangu,
Waniongoza maishani hakuna mwingine
Kama wewe.

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar