Kishore Kumar Hits

Them Mushrooms - Jambo Bwana şarkı sözleri

Sanatçı: Them Mushrooms

albüm: Jambo Bwana


Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.
Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar