Kishore Kumar Hits

Them Mushrooms - Nyambura şarkı sözleri

Sanatçı: Them Mushrooms

albüm: Going Places


Niatia riu Nyambura
Niatia riu my love
I love you Nyambura just like
Nyama choma
Niatia riu Nyambura
Niatia riu my love
I love you Nyambura just like
Fish and chips
Kilakini kikuona
Ulimi hufunga kitanzi
Na mate hunikauka mimi
Hupumbaa fahamu sina
Leo ninajitolea
Kwani nimekwisha shindwa
Penzi limenizidia
Imebidi nikuelezee
Aaaa
Leo nakuambia,
Ili upate kujua
Yaliyo moyoni wangu
Aaaa
Leo nakuambia,
Ili upate kujua
Yaliyo moyoni wangu
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Kila unapotabasamu
Magoti hunitetema
Na moyo hudunda mbio, mimi
Hupumbaa fahamu sina
Mie sili wala silali
Kwa kukuwaza we Nyambura
Moyoni nasononeka
Juu yako wewe Nyambura
Aaaa
Leo nakuambia,
Ili upate kujua
Yaliyo moyoni wangu
Aaaa
Leo nakuambia,
Ili upate kujua
Yaliyo moyoni wangu
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Niatia riu Nyambura
Niatia riu my love
I love you Nyambura
Niatia riu my love
Aaaa
Leo nakuambia,
Ili upate kujua
Yaliyo moyoni wangu
Aaaa
Leo nakuambia,
Ili upate kujua
Yaliyo moyoni wangu
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
Nyambura I love you
Like fish and chips
Nyambura nakupenda kama nyama choma
End

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar