Yesu kwako ninalia Nitakufa ukiona Wako nisogeze eeeh Hivi hivi nitwae ×3 Wokovu nisogeze eeya Hivi hivi nitwae Nina dhambi na sifai Damu yako natumai Naja hivi hukatai Hivi hivi nitwae×3 Wokovu nisogeze eeya Hivi hivi nitwae Kijito cha utakaso Ni damu ya Yesu Bwana anao uweza Kunipa wokovu Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa humo Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso×2 Ni neema ya ajabu Kumpa mwanadamu Kabla Yesu kumjuaa Yesu kuwa msalabani