Uko uhuru wa kusema hutaki lakini si wa matusi dada aah2 Akupendaye amependezwa nawe simchukulie fala kamwe eh 2 Nimegundua siri moja maishani mwanadamu hupenda anayemdanganya eeeh2 Ukimweleza ukweli hamtaelewana kamwee eeehh. Ninamlilia suzanna nafasi sina ya kumweleza hayaaaaa uh Ninamlilia suzanna nafasi sina ya kumweleza hayaaa uhhh Nifanye nini wewedada hata salamu zangu sitaki suza2