Oyee Mr kraizy bwoy woyee Ooh no Mr kelele the choir master mwenyewe kaboom Umeniweza woop Ume ume umeniweza Toto la mama umeniweza Ume ume umeniweza Toto la mama umeniweza Niwe niwe umeniweza Toto la mama umeniweza umeniweza Niwe niwe umeniweza ooh yeh eh eh Toto la mama umeniweza Umeniweza ahh Ah seh mania you ya you razor ahh You got me up all night ahh Every night ahh Thinking of you kaba Mpenzi wangu oh mami oh I can't get over this feelings I have for you nah nah nah ahh yeah You dominate my mind ahh yeah Oh high di'u'a mwane 'Ogu ai'a ta'aa'a reh Yeah umeniweza ju yako naenda kwa gereza I love you so much Nikidedi wakuweke kwa jeneza Tunaeza if ifanyia kwa meza Tunaeza ifanyia kwa bafu Nimekuandikia ngoma Nataka kuona ukicheza My star time is money so cheki maisaa Kwanza ukivaa hiyo dress Bila baika we ni real hao ni fake ka simu za chaina Mi ni major lazor wengine ni miner Just for one night nikusho naweza bazenga leo tunachafua meza Kama maua ukiniacha mwenzako nitanyaukaaa aah Na ulivyo wa moto niruhusu nije kwako nikaote jua aaah Ume ume umeniweza Toto la mama umeniweza Ume ume umeniweza Toto la mama umeniweza Niwe niwe umeniweza Toto la mama umeniweza Niwe niwe umeniweza Toto la mama umeniweza Hawa maheta unawaumiza maksudi Umefanya najawa na kiburi aah Baby nataka banana Nikirudi unasemaaah Mi nawe twafanana Nimejuwa mapemaaah Moyo wangu kwako ni ka remote Taratibu mama usinifinye poze Na ulivyo hitimu kwenye mapenzi mimi kwako natulia Nipe mafunzo Umenipandisha ngaazi Nashindwa kushuka Aki baby nashtuka Ona tulivyo raruwa hizi mashuka Penzi limekolea mwenzenyu bila mboleaa Kama maua ukiniacha mwenzako nitanyaukaaa aah Na ulivyo wa moto Niruhusu nije kwako nikaote jua aaah Ume ume umeniweza Toto la mama umeniweza Ume ume umeniweza Toto la mama umeniweza Niwe niwe umeniweza Toto la mama umeniweza Niwe niwe umeniweza Toto la mama umeniweza Umeniweza Red eye music Trabol sum inna ya remix