Kishore Kumar Hits

Patrick Kubuya - Yesu Ni Wimbo Wangu şarkı sözleri

Sanatçı: Patrick Kubuya

albüm: Yesu Ni Wimbo Wangu


Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
We ndio mpenzi wangu sitakuacha
Niende wapi nimekuchagua wewe
Nifuate nani kwako kunautulivu
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Niende wapi nimekuchagua wewe
Nifuate nani kwako kunautulivu
Tangu nilipokupokea wewe Yesu
Moyo wangu ukajaa na furaha
Roho yangu ikajaa tumaini
Tegemeo langu ni Yesu
Msaada wangu wa karibu ni wewe
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Niende wapi nimekuchagua wewe
Nifuate nani kwako kunautulivu
Yesu ni wangu wa siku zote
Yeye anajua maisha yangu
Hata usiku hata mchana
Yesu ni wangu wa siku zote
Hata ningekua na mchumba
Hata ningekua na mume wangu
Hangenipenda kama na Yesu
Yesu ni wangu wa siku zote
Hata ningekua na babangu
Hata ningekua na mama yangu
Hangenipenda kama na Yesu
Yesu ni wangu wa siku zote

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar