Kishore Kumar Hits

Patrick Kubuya - Kama Siyo Wewe şarkı sözleri

Sanatçı: Patrick Kubuya

albüm: Coeur à Coeur


Sijaona kama wewe
Muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu ya kusifu
Wewe mfalmee
Kwa Jina lako bwana wangu
Mabaya yote yanashuka
Nani atayesimama
Mbele zako .
Sijaona kama wewe
Muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu ya kusifu
Wewe mfalmee
Kwa Jina lako bwana wangu
Mabaya yote yanashuka
Nani atayesimama
Mbele zako .
Sijaona kama wewe
Muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu ya kusifu
Wewe mfalmee
Kwa Jina lako bwana wangu
Mabaya yote yanashuka
Nani atayesimama
Mbele zako .
Mungu moja tangu mwanzo
Unapita na mawazo
Maarifa yako bwana
Ni makubwaa
Kimbilio la visasi
Sijaona kama wewe
Nguvu zako bwana wangu
Zinatishaa .
Mungu moja tangu mwanzo
Unapita na mawazo
Maarifa yako bwana
Ni makubwaa
Kimbilio la vizazi
Sijaona kama wewe
Nguvu zako bwana wangu
Zinatishaa .
Bahari yakutii
Milima yatetemeka
Kwa sauti yako tu
Muumbaji wa vyote
Mimi bwana wangu
Niliyo nguvu kwako
Yote unaweza
Muumbaji wa vyote .
Bahari yakutii
Milima yatetemeka
Kwa sauti yako tu
Muumbaji wa vyote
Nini Bwana wangu
Iliyo ngumu kwako
Yote unaweza
Muumbaji wa vyote
Pokea utukufu Na sifa zote
Bwana pokea
Haa pokea utukufu na sifa zote
Bwana pokea .
Pokea utukufu Na sifa zote
Bwana pokea
Haa pokea utukufu na sifa zote
Bwana pokea .
Ni wewe Bwana
Ni wewe Bwana
Ni wewe Bwana
Ni wewe tangu mwanzo .
Ni wewe Bwana
Ni wewew Bwana
Ni wewew Bwana
Ni wewe tangu mwanzo .
Ni wewe Bwana
Ni wewe Bwana
Ni wewe Bwana
Ni wewe tangu mwanzo .
Ni wewe Bwana
Ni wewew Bwana
Ni wewew Bwana
Ni wewe tangu mwanzo .
Ni wewe Bwana
Ni wewe Bwana
Ni wewe Bwana
Ni wewe tangu mwanzo .
Ni wewe Bwana
Ni wewew Bwana
Ni wewew Bwana
Ni wewe tangu mwanzo .
Pokea utukufu Na sifa zote
Bwana pokea
Haa pokea utukufu na sifa zote
Bwana pokea .

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar