Kishore Kumar Hits

Patrick Kubuya - Anaweza şarkı sözleri

Sanatçı: Patrick Kubuya

albüm: Coeur à Coeur


Tangu mwanzo wa uzima wangu,
Yeye yule anayenishughulikia
Hajawahai niacha ata siku kila leo akesha kwa ajili yangu
Tangu mwanzo wa uzima wangu,
Yeye yule anayenishughulikia,
Hajawahai niacha ata siku kila leo akesha kwa ajili yangu
Imani wee mwanzilishi wa mambo yote
Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia
Imani wee mwanzilishi wa mambo yote
Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia
Nitaishi kwa kusudi yake
Ya wanadamu kwangu hayana nafasi
Mimi kichwa wala si mkia Baba yangu ndiye anatawala
Imani wee mwanzilishi wa mambo yote
Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia
Imani wee mwanzilishi wa mambo yote
Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia
Anajua,kila kitu
Kinachonisumbua mimi
Anajibu ninapomwita
Sikio lake si vigumu kwangu
Anajua,kila kitu
Kinachonisumbua mimi
Anajibu ninapomwita
Sikio lake si vigumu kwangu
Imani wee mwanzilishi wa mambo yote
Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia
Imani wee mwanzilishi wa mambo yote
Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia
Ya leo hayatanitisha
Nina Mungu aliye juu ya yote
Aliyofanya tangu mwanzo
Anaweza yafanya ata sasa
Majira hayatanisha mimi,mimi wake
Yeye Mungu aliyejuu ya yote
Aliyofanya na Abrahamu,Isaka na Yakobo nina imani
Anaweza yafanya ata sasa
Anaweza
Aweza,mwokozi Yesu aweza
Yeye hashindwangi kitu
Aweza,mwokozi Yesu aweza
Baba
Aweza,mwokozi Yesu aweza
Anaweza kukutoa mavumbbini
Aweza,mwokozi Yesu aweza
Kisha anakuketisha na wafalme
Aweza,mwokozi Yesu aweza
Baba wetu hashindwangi kitu
Aweza,mwokozi Yesu aweza
Yeye ni muweza yote
Aweza,mwokozi Yesu aweza

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar