Kishore Kumar Hits

Goodluck Gozbert - Suprise şarkı sözleri

Sanatçı: Goodluck Gozbert

albüm: Ipo Siku


Aah, Aah,
Bwana ona ah, ona
Bwana ona ah, ona
Suprise, hawakujua unanibalisha Mungu
Bwana ona ah, ona
Bwana ona ah, ona
Suprise,
Walizoea kukuona ukihangaika, tena mioyo yao ikaburudika
Walifurahi kusikia umeharibikiwa, ndo wakatangaza hautainuka
Kwa maana walijua ukisimama, wewe ni namba nyingine
Tena walijua ukisimama, wewe ni mtu mwingine
Eti kwanini na wewe upate, huku wao wana vyeo
Sawa walikusaidia, ila kwa shingo upande
Kama ilikua msaada wasingekudhalilisha
Walizoea kila jambo jema kutoka kwao tu
Walobobea wamewekwa kando umepata nafasi
Bwana ona ah, ona
Bwana ona ah, ona
Suprise,
Hawakujua unanibalisha Mungu
Bwana ona ah, ona
Bwana ona ah, ona
Suprise,
Kama neema ipo, subiri usichoke (bado)
Siku yako ipo, shukuru usiache
Wako wapi? waliokudhalilisha na waseme
Ziko wapi? siku ulizojificha kwa fedheha
Hakuna jambo gumu haliwezi
Ninajua silaha zao ni panga butu, walijua nitakufa bado ninaishi
Hata Dunia ipindike, sarafu haifutiki
Jina lako limeandikwa Baraka hazifichiki
Mi nan'gara kama Daudi vazi la utukufu
Si uliniita mchunga mbuzi aah
Bwana ona ah, ona
Bwana ona ah, ona
Suprise
Hawakujua unanibalisha Mungu
Bwana ona ah, ona
Bwana ona ah, ona
Suprise
Aya, aya, aya, twende sasa
Walisema huna mtoto (huo, huo moto, huo)
Wakakutupia majini (huo, huo moto, huo)
Wengine wakakufukuza kazi (huo, huo moto, huo)
Walisema hutoolewa (huo, huo moto, huo)
(Eh, eh) wamebaki wanashangaa (huo, huo moto, huo)
Maana lipo jina la Yesu (huo, huo moto, huo)
Yesu ni yote katika yote (huo, huo moto, huo)
(Asante)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar