Kishore Kumar Hits

Goodluck Gozbert - Moyo Tulia şarkı sözleri

Sanatçı: Goodluck Gozbert

albüm: Ipo Siku


... Haya!
Mmmh...
Eh!
Mmmmh...
Yale maneno uyasemayo
Ona ndege wa angani
Wanakula hawapandi
Na tena hawavuni
Ni sawa sikuelewa
$&(% vya nini
Walikula
Imebaki
Wengine wamekosa
Kumbe ipo maana
Ya kushukuru kwa kidogo
Moyo wangu unalaumu ila shida waijua
Wapo wal'okosa kabisa
Na wanashukuru Mungu
Wewe kutaka ma fashion
Unamlaumu Mungu
Unanifanya moyo nitamani kua kama yule
Hali yangu duni
Nitadhalilika
(Moyo wangu)
Tulia tulia
Usikufuru Mungu
(Moyo wangu)
Tulia tulia
Mengine ni ushamba
Wapo wengi
Wenye shida
Huwajui. Huwajui.
Wako wengi
Wenye dhiki
Huwajui... Huwajui.
Unajua dunia ni njia
Unataka kujenga ghorofa
Ya kazi gani
Ata usipo salimia
Jua utazikwa chini
Jeuri ya nini
Unanifanya moyo nitamani kua kama yule
Hali yangu duni
Nitadhalilika
Nimeshafanya mengi kubatili faida haiko
Bora nimpe sifa Mungu
Baki na amani moyo.
(Moyo wangu)
Tulia tulia
Usikufuru Mungu
(Moyo wangu)
Tulia tulia
Mengine ni ushamba
Moyo! Utuliee
Moyo.
Ai!
Haayy!
Moyo.
Eh!
Utulie
Oh moyo moyo wangu
Utulie.
Oh Moyo moyo moyo
Utulie

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar