Kishore Kumar Hits

Goodluck Gozbert - Ndiwe Mungu şarkı sözleri

Sanatçı: Goodluck Gozbert

albüm: Ipo Siku


Ndiwe eh eh
Ndiwe mungu wangu
Ndiweee
Ndiwe wewe mungu wangu
Nakupenda sana
Ndiwe wewe mungu wangu
Peke yako
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Nakupenda sana
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Najua iko miungu mingi
Tena inasifa nyingi
Abuduo sanamu
Hawanishii
Wengine mna mali nyingi
Tatizo mashariti mengi
Ila kwa mungu wangu
Yaani ni amani
Niwapo mnyonge ananitia nguvu huyu
Niwapo zaifu
Atii nataka na kumwaga machozi ya furaha nikitazama zaidi yako hakuna nabaki nikilia niwe we
Rpt corus
Usipo enda na mimi
Nitauwawa kule fanyika mwamba
Nilinde kwa maisha yangu eh
Nimeumbwa na wewe umwnipa akili
Nimeumbwa na wewe pumzi ya uhai wako bure
Ajari nyingi tumezika wengi jamani
Maginjwa mengi walikufa wengi si haba
Ila unenilinda ona umenitunza
Ona unenilinda nakupenda bure bure
Ah bure bure ah bure ah bure
Rpt corus
Mungu wa majeshi alfa na omega
(End)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar