Kishore Kumar Hits

Goodluck Gozbert - Pendo Langu şarkı sözleri

Sanatçı: Goodluck Gozbert

albüm: Ipo Siku


Uhafifu wa mbalamwezi,
Haufanyi usiku kukwama
Nina mengi ila nimetunza ndani
Umevumilia mengi ujinga wangu
Naukasitiri madhaifu yangu
Acha tu nikwambie wewe ni
One in a million
Ulilia na huzuni yangu
Ukawa mfariji wangu
Acha tu nikuambia bora nife mimi
Unizike wewe
I love you yesterday
Nakupenda sana everyday
Nikupe moyo wangu
Kwenye moyo wangu
I love you yesterday
Nitakupenda sana everyday
Kwenye moyo wangu
Kwenye moyo wangu
Eeeiiih
Tazama tazama machoni uone
Ulivyo pendo langu babe
Nafuangua macho nakuona
Nikifumba nakuota
Kumbukumbu ya ule wema wako
Nirudi moyoni mwangu
(Moyoni mwangu)
Nilipopata maswahibu
Yaleta aibu bado ulipigania
Ule upendo wetu
Hata furaha yetu
Sijui ni nunue nini, Kama zawadi
Yenye dhamani ili iwe zaidi ya burudani
Nikisema nikuchagulie jina zuri
Nitakuita malaika wewe
Umefanyika tabasamu na mchana
Usiku sifa mbaya huna wee
(Yesterday)
Nakupenda sana everyday
Kwenye moyo wangu
Kwenye moyo wangu
I love you yesterday
Nakupenda sana everyday
Kwenye moyo wangu
Kwenye moyo wangu
Eieeihh
Tazama tazama machoni uone
Ulivyo pendo langu babe
Tazama tazama machoni uone
(Every night and day)
Lilivyo pendo langu babe
We ndiyo unayefaaa
Only you, only you
Yeeiihh
Only you, only you
Yeiiihhh
Hili ndyo pendo langu
(Asante)
END

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar