Kishore Kumar Hits

Goodluck Gozbert - Nisamehe şarkı sözleri

Sanatçı: Goodluck Gozbert

albüm: Ipo Siku


Hata nikiwa sina chakula,
Isinifanye kusahau, ulinilisha nikasaza.
Hata nikiwa sina mavazi,
Isinifanye nikufuru na kusahau umeniweka hai.
Ona wapo marafiki wanakosa kula na kuvaa
Hawalalamiki wanakushukuru tu
Mimi eeeh nilikupa nini baba cha kunipa kibali
Kwa siku zilizofurahisha
Tabu kidogo zisifanye nikusahau
Nimeshatenda mengi nikiwa hapa
Eeeh
Shida itapita bado kidogo
Ikiwa nitachoka
Aah nipe (kukumbuka wema)
Ooh nipe (kukumbuka wema)
Aah nipe (kukumbuka wema wako)
Aah nipe
Aah nipe (kukumbuka wema)
Ooh nipe (kukumbuka wema)
Oooh nipe (kukumbuka wema wako)
Hata kwenye bonde hili la mauti
Nakumbuka nilikuita
Na wewe ukaitika baba
Kutengemea akili zangu
Na mawazo yangu
Kutanifanya niendelee niendelee kulalamika
Kuna kipindi najisahau
Na kujivunia mafanikio
Wengine naona takataka
Nikumbushe me ni mtu tu
Na dunia tunapita
Uhai wangu si faida bila wewe
Mungu wewe ni mkuu
Kuliko vile nakutazama baba
Unisamehe unisamehe
Kuna nyakati nadhani
Hii dunia labda ni ya ushindani
Natumia akili zangu za ndani
Ila bado nashindwa kuendelea
Nikumbushe nisidhani
Wakifanikiwa tuna upinzani
Nifundishe kuwa umbea amani
Na utatenda kwa wakati
Na ikiwa kama nikisahau
Unikumbushe (nikumbushe wewe)
Me mtoto wako (mtoto wako)
Kama nikisahau(nikisahau wee)
Unikumbushe me mtoto wako
Aah nipe (kukumbuka wema)
Ooh nipe (kukumbuka wema)
Oooh nipe (kukumbuka wema wako) aa nipe
Aah nipe (kukumbuka wema)
Ooh nipe (kukumbuka wema)
Oooh nipe (kukumbuka wema wako)
Weweweweweweee!(kukumbuka wema)
Oooh wooh(kukumbuka wema)
Aaaiieeh(kukumbuka wema wako)
Hata nisipofanikiwa(kukumbuka wema)
Nikarudi kwenye dhiki(kukumbuka wema)
Kupoteza marafiki(kukumbuka wema wako) unikumbushe kumbushe tu
Baba yangu eeh(kukumbuka wema)
Ooh nikumbuke pia(kukumbuka wema)
Ooh fadhili zako(kukumbuka wema wako)
Unikumbushe jehova(kukumbuka wema)
Unikumbushe masia(kukumbuka wema)
Kwamba wewe ni muumba niwe vile utakavyo.

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar