Kishore Kumar Hits

Goodluck Gozbert - Acha Waambiane şarkı sözleri

Sanatçı: Goodluck Gozbert

albüm: Ipo Siku

[ Acha waambiane wasemezane mabaya yako
Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako ]
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila
Wataambiana wema wa mungu maishani mwako.
Usikate tamaa na yale unayo yaona atakama uko chini sana na juwa
Wataambiana wewe ni masikini lakini usichoke iposiku wa tasema.
Najuwa wataambiana wewe ufahi na umesha tembea na wanaume wengi
Utakapofika wakati wakuinuliwa aa utashanga wakiambiana tena.
Ati yule mwana mama aliekuwa ni kahaba ameolewa sasa anafamilia yake.
Utasikia tena yule aliekuwa kikaragosi
Leo anatembelea gari, wataambiana weee.
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila
Wataambiana wema wa mungu maishani mwako.
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila
Wataambiana wema wa mungu maishani mwako.
Neno hili limekuwa lakawaida kwako lakini nilanamaana kubwa,
Waweza kuona wanadamu wana tembea kimya kimya ila wame tunza mengi
Miyooni mwao,
Usijekuona wanacheka na wewe ujuwi miyooni mwao wameweka nini,
Unaweza ona wamekusalimia kwafuraha zote,
Ilakumbe wamesha ambiana kama yule pale ati ni muhazirika wa ukimwi
Mara yule pale ni mgumba,
Ati yule pale alifeli kilatu cha
Nne, na yule pale hana ada ya masomo.
Acha waambiane wasemezane mabaya yako
Ipo siku wataambiana tena vile mungu
Atavyo kuinuwa baba lazima wataambiana tena
Acha waambiane wasemezane mabaya yako
Lazima mama wataambiana tena utasikia yule mgumba sasa amezaa,
Alie feli siku izi ana degri,
Utasikia mengi na uta mtukuza mungu, ibyo usife moyo acha waambiane
Acha waambiane
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila
Wataambiana wema wa mungu maishani mwako.
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila
Wataambiana wema wa mungu maishani mwako.
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila
Wataambiana wema wa mungu maishani mwako.

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar