Kishore Kumar Hits

Goodluck Gozbert - Kama Sio Wewe şarkı sözleri

Sanatçı: Goodluck Gozbert

albüm: Kama Sio Wewe

Mmh, mmh
Hey, hey
Nawala sio sababu ya jina langu
Wala sio sababu ninafaa
Najua sio sababu ya sadaka zangu
Oh, maana ndio bado ninashangaa
Nilijua kwamba nimeshapoteza nafasi
Mim ni nani Bwana nakosa neno kusema
Unisamehe sikujua unanipenda hivi
Umefanya bure, sawa na upendavyo
Umeruhusu niwe vile upendavyo
Nitakushukuru tu kwa neema
Asante tu kwa wema
Ninakushukuru tu kwa neema
Asante tu kwa wema
Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?)
Kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?)
Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?)
Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?)
Wacha machozi, (wacha machozi yanitiririke tu)
Yanitiririke, (wacha kilio nikulilie Mungu)
Basi wacha machozi, (wacha machozi yanitiririke tu)
Eeh, wacha kilio eh, (wacha kilio nikulilie Mungu)

Natafuta cha kunitenga nawe, bado sijaona
Nilishakatwa katwa moyo nakupondwa na wanadamu
Leo watanambia nini?, nikiwa nawe
Leo watanambia nini? uuh, nikiwa nawe
Pesa huitwa sabuni, ila maji ni wewe
Unioshe Bwana, nitakase hiee
Nitakushukuru tu kwa neema
Asante tu kwa wema
Ninakushukuru tu, kwa neema
Asante tu kwa wema
Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?)
Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?)
Kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?)
Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?)
Wacha machozi, (wacha machozi yanitiririke tu)
Eeh, acha kilio eh, (wacha kilio nikulilie Mungu)
Basi wacha machozi, (wacha machozi yanitiririke tu)
Eeh, wacha kilio eh, (wacha kilio nikulilie Mungu)
Aah!

Asante

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar