Harambee harambee tuimbe pamoja Harambee harambee tuimbe pamoja Harambe harambee tuimbe pamoja Tujenge serikali Wengi walisema kenya itakuwa matata ×3 Watu wote wastaarabu Wananchi harambee tuvute pamoja ×3 Muongoze na usalama Watu wa kenya hatuna ubaguzi×3 Kila rangi tunaipenda ...