Nilikuta bibi wa kwanza Nairobi, akanipenda na mm kampenda Nikamuuliza kama ana bwana Akanijibu sina hata mpenzi Tukaenda nae mpaka kwake shauri moyo kwa nyumba za Tombaku Nlipolala kasikia hodihodi fungueni Ni mimi mwenye nyumba Bibi alileta aibu sanasana Mpaka mimi na yule bwana Tungepigana mimi na yule bwana Tuumizane wewe ungefanyaje