Kishore Kumar Hits

Les Wanyika - Safari Ya Samburu şarkı sözleri

Sanatçı: Les Wanyika

albüm: Safari Ya Samburu


Rafiki yoo yoo yoo
Kwaheri uende ufike salama
Safari yako kwenda samburu
Kuona ndugu jamaa na marafiki ooo
Utapofika maralali
Nisalimie dokta maina
Mwezi decemba nataraji
Niombe livu niifike niwaone eee
Safari yetu les wanyika
Tulipofika maralali
Tulifurahi kuwapata
Rafiki wema na wenye nia njema...×2
Asante sana dokta maina
Tena asante ndugu omolo

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar