Kishore Kumar Hits

Naiboi - Sondeka şarkı sözleri

Sanatçı: Naiboi

albüm: Sondeka


Usibishane na babu wewe
Tunasondeka(Utamu wa mnazi)
Tunasondeka(Rixx)
Tunasondeka(Matatizo)
Tunasondeka(Ah Naiboi)
Tunasondeka(ooh Lord)
Tunasondeka(Tunarekebisha)
Tabia ya kuagiza pombe na si wewe unalipa(Tunasondeka)
Umekuja date na mabeste zako nasijawaalika(Uuh yeah)
Njaro za kuingia chumbani mwangu na mlango hujabisha
(Tunasondeka)
Unang'ara ndula zangu unaziposti kwa Insta(Uuh yeah)
Umenivalia wiggy tamu
Kumbe ndani ni matuta(Tunasondeka)
Ah kumbe pia haga feki tulidhani una figa
Oh yeah yeah
Si watu wana tabia mbaya
Si muko na matabia mbaya
Si watu wana tabia mbaya
Si muko na matabia mbaya
Tunasondeka iyee
Tunasondeka
Ikileta shida
Tunasondeka ooh Lord
Tunasondeka (Tunarekebisha)
Tunasondeka iyee
Tunasondeka
Ikileta noma
Tunasondeka ooh Lord
Tunasondeka (Tunarekebisha)
Amelala mpaka saa tisa ni kama kwangu ni kwao
(Ety what!)
Na ng'ombe saba na mbuzi sita sijapeleka kwao
Si uliambiwa shimoni moto, mbona sasa unawika?
(Unachomeka!)
Tukaambiwa ni shoti moja wee ukichocha ni sita
Ambia huyo politician next time akituona
(Kitaeleweka!)
Tangu tukuseti MCA mtaani uko MIA
Si watu wana tabia mbaya
Si muko na matabia mbaya
Si watu wana tabia mbaya
Si muko na matabia mbaya
Tunasondeka
Tunasondeka
Maisha ya vipindi(Tunasondeka aha)
Tunasondeka
Takataka lovish(Tunasondeka yeah)
Tunasondeka
Ati sambaze nieke beti (Tunasondeka aha)
Tunasondeka
Break it down down down
Waambie nimekam Naiboi nimekam eeh
Mbogi ya Kenya imekam
Waambie tumekam na ubaya tumekam eeh
Mbogi ya Kenya imekam
Waambie nimekam Naiboi nimekam eeh
Mbogi ya Kenya imekam
Waambie tumekam Naiboi nimekam eeh
Wanaofanya wengi wanaojua wachache Tunawalainisha!

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar