Kishore Kumar Hits

Naiboi - Watu wake şarkı sözleri

Sanatçı: Naiboi

albüm: Watu wake


Mungu na watu wake
Haachi watu wake
Ooh watu
Haachi watu wake
Mother fulani, amekopa pesa fulani
Achangishe alishe watoto wa jirani
Yeeh, ouuh
Buda fulani, ametoka base fulani
Na worry yake ni asibambwe na maaskari
(Some are protected some are not)
Kuna Ras fulani amekamatwa na mume wa fulani
Excuse ya bibi ni mavijana hawalalangi
Randa inapigwa safi bro
So what is love
Question marks when its right there on your face
So what is love
Question marks when its right there on your face
On your face(it is what it is)
Oooh watu wake
Haachi watu wake
Mungu na watu wake
Haachi watu wake
(Sir Jah) na watu wake
Haachi watu wake
Mungu na watu wake
Haachi watu wake
It is what it is
It is what it is
Nigaa fulani, amevuka na kashamba ka fulani
Na anakana mbele ya nchi hadharani
Manzi fulani, amekula fare fulani
Na vile boychild amejipanga hapa nyumbani
(Tusidanganyane)
Najua kura fulani, zitapigwa na watu fulani
Matokeo itaonyesha mtu fulani
(Nikama hatuna say no more)
So what is love
Question marks when its right there on your face
So what is love
Question marks when its right there on your face
(It is what it is)
Oooh watu wake
Haachi watu wake
Mungu na watu wake
Haachi watu wake
(Sir Jah) na watu wake
Haachi watu wake
Mungu na watu wake
Haachi watu wake
It is what it is
It is what it is

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar