Oh she say she likes it How I give her vibes Ako na nida kwa akili But am the one she likes Mchezo yake tight anacheza polite Na vile toto ameiva anadai kuwa wife Anapenda dombolo tukiwa solo Simu inazima speaker zinaimba, tukiwa solo Anapenda ndombolo, ya solo Picha zinapigwa, Insta naanikwa Ati nimelamba lolo Stingo zake ni za AEIO, uwii Ni za AEIO, mama mama Stingo zake ni za AEIO, uwii Ni za AEIO, mama mama Aki vile mi napenda watoto Ni kama nilirogwa Kwa baridi iwe joto Vile mi napenda watoto Hata wanitende mwenzako sikomi Ooh sikomi Unakumbuka yule wa dimple Mwenye ana lines kwenye shingo Juzi alislide ndani ya inbo ooh Mtoto mkorofi anapenda fimbo Alinicheza ni kama wimbo Oh sikujuwa itakuwa hivo Stingo zake ni za AEIO, uwii Ni za AEIO, mama mama Stingo zake ni za AEIO, uwii Ni za AEIO, mama mama Atis alert, atis alert Yaani kujichunga for me Atis alert, atis alert Twende wote Nairobi Kampala, ayee Mtoto amejibeba Kigali Kinshasa, ooh ameweza Anachanganya Dar es Salaam Mombasa, mtamu kama pweza Wanachanganya Harare Mauritius, tunawapenda wote Wanachanganya