Nakuomba nerea usitoe mimba yangu, eh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake Lete nitamlea usitoe mimba yangu eh, Mungu akileta mtoto analeta sahani yake. Huenda akawa Obama, atawale america Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda Huenda akawa Onyama, acheze soccer Uingereza Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa Ohhh Nakuomba nerea usitoe mimba yangu eh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake Lete nitamlea usitoe mimba yangu eh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake Huenda akawa Magahi, hailinde mazingira Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania Huenda akawa Mandela, mkombozi wa africa Nakuomba nerea usitoe mimba yangu eh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake Lete nitamlea usitoe mimba yangu eh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake Nakuomba nerea Nerea Nerea Usitoe mimba yangu Nerea Nerea Nerea Usitoe mimba yangu Huenda akawa Kagame, atawale Gara mongi odinga, tuungane Huenda akawa Tomboya Huenda akawa Rudisha Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia Huenda akawa Sauti Sol Huenda akawa Amos and Josh Huenda akawa Ahhhh Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia