Sina makosa afande uniwie radhi Nimetoka kuimba Na kitambulisho mi sina nimepoteza wallet na Sijachukua nyingine Na sijakataa kosa nililofanya ah Sijakataa kitambilisho sina Sijakataa chini nimeshaketi Usiniseti afande usiniseti afande Hey you in the blue uniform If I have wronged you I will reform Raia analia Hey you, hey you ♪ Heey Natambua kwamba hamna kosa, ulilofanya eh Kitambulisho hicho hauna nikufanyeje Mapato yangu nimadogo, nategemea kidogo Ni kazi yangu ujira wangu Hujakataa kosa ulilofanya Hujakataa chini umeshaketi Hujakataa kitambulisho huna Nitakuseti raia, fuata sheria Hey you in the blue uniform If I have wronged you I will reform Raia analia Hey you, hey you ♪ Aaah... ahaa... Umezoea kuchelewa Siku mingi nimekulenga Naona watuzoea (mmmh) Kuanzia leo nakuonya, ujichunge Ama nitakuweka ndani weeiiih Hujakataa kosa ulilofanya eh Nakuonya we mwananchi wewe Ntakuacha leo uende nyumba Onyo kwako we Raia wee Hey you in the blue uniform If I have wronged you I will reform Raia analia Hey you, hey you In the blue uniform... In the blue uniform... In the blue uniform... In the blue uniform... Hey you, hey you Hey you, hey you Hey you, hey you Hey you, hey you Hey you in the blue uniform If I have wronged you I will reform Raia analia (kilioo) Hey you, hey you Hey you in the blue uniform If I have wronged you I will reform Raia analia Hey you, hey you Hey you in the blue uniform If I have wronged you I will reform Raia analia Hey you, hey you