Utanikumbuka sofia navyocheka navyotabasamu Utanikumbuka Sofia mapenzi yangu ya ajabu Giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha Machozi nayo kanitiririka niendeje mama Utanikumbuka Sofia Utanikumbuka Sofia Utanikumbuka Sofia Utanikumbuka, utanikumbuka ♪ Navyocheka navyotabasamu (utanikumbuka) Mapenzi yangu baibe (utayakumbuka) Giza na taa (utanikumbuka) Dhiki faraja (utanikumbuka) Giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha Machozi nayo kanitiririka nifanyeje mama Yeah yayaya, yayaya yeah Utanikumbuka Sofia Utanikumbuka Sofia Utanikumbuka Sofia Utanikumbuka, utanikumbuka ♪ Kwaheri, kwaheri Sofia Kwaheri, kwaheri Sofia Kwaheri, kwaheri Sofia Kwaheri, kwaheri Sofia Utanikumbuka Sofia (utanikumbuka Sofia) Utanikumbuka Sofia (utanikumbuka Sofia) Utanikumbuka Sofia (utanikumbuka Sofia) Utanikumbuka, utanikumbuka Soooo... soooo... Sintonisahau Sofia navyocheka navyotabasamu Sintonisahau Sofia mapenzi yangu ya ajabu Giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha