Soma somasoma
Kijana
Masiku zazidi badilika
Kijana
Soma somasoma
Kijana
Masiku zazidi badilika
Kijana
Wazuri wazidi kuzaliwa
Na dunia
Nayo yazidi haribika
Kijana
Wazuri wazidi kuzaliwa
Na dunia
Nayo yazidi haribika
Kijana
Maisha ya TV
Tutaishi sisi
Wengi wanapotea
Wengi wakata tamaa
Twachuna riba vijana
Juu ya vile tutang'aa
Ajuaye Rabana
Ndiye atuongoza
Kijana
Masiku zazidi badilika
Kijana
Soma somasoma
Kijana
Masiku zazidi badilika
Kijana
Soma somasoma
Kijana
Masiku zazidi badilika
Kijana
Wazuri wazidi kuzaliwa
Na dunia
Nayo yazidi haribika
Kijana
Wazuri wazidi kuzaliwa
Na dunia
Nayo yazidi haribika
Kijana
Soma somasoma kijana
Masiku zazidi badilika
Soma somasoma kijana
Masiku zazidi badilika
Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia
Nayo yazidi haribika
Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia
Nayo yazidi haribika
Soma...
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri