Wengi wao wamenyosha mikono Wataka upokezi toka kwako Na hata wenye magari ya kifahari Najua kwako wewe hawatoshi Usinilenge Usinipelekepeleke huku na kule Uje unipende Uje hata nao mapacha unizalie Njoo nikumiliki milele Malikia tuoane Wewe ni mi Mimi ni wewe Na milele tupendane Usinifungie pazia Malikia nakuita Usinifungie pazia Malikia nakuita Malikia nakuita we uje unizalie Malikia nakuita we uje unizalie Malikia nakuita we uje unizalie Malikia nakuita we uje, uje Mabepari wasio na mapenzi halali Watazidi kukunoki hoi Na hata wenye magari ya kifahari Najua kwako wewe hawatoshi Usinilenge Usinipelekepeleke huku na kule Uje unipende Uje hata nao mapacha unizalie Njoo nikumiliki milele Malikia tuoane Wewe ni mi Mimi ni wewe Na milele tupendane Usinifungie pazia Malikia nakuita Usinifungie pazia Malikia nakuita Malikia nakuita we uje unizalie Malikia nakuita we uje unizalie Malikia nakuita we uje unizalie Malikia nakuita we uje, uje Malikia, karibia Malikia, karibia Malikia, karibia Malikia, karibia Malikia nakuita we uje unizalie Malikia nakuita we uje unizalie Malikia nakuita we uje unizalie Malikia nakuita we uje, uje