Umetuma wazazi wako waje wanielezee Umetuma wazazi wako waje wanielezee Hunitaki tena Na mashoga zako waje waniambie Na mashoga zako waje waniambie Ndoa tumeivunja ♪ Siamini kuna time singeishi bila wewe Mapenzi ya kukata na shoka, eeh Yashamwagika hayazoleki haya, oh Basi nenda lote mama Nenda lote mama Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya, oh Nenda lote mama ♪ Ukatuma lawyer wako aje anisomee Ukatuma lawyer wako aje anisomee Kuwa watoto ulonizalia, eeh Kuwa watoto ulonizalia, eeh Sitawaona tena ♪ Siamini kuna time tuliapa hadharani Kanisani kwa chanda na pete, eeh Yashamwagika hayazoleki haya, oh Nenda lote mama Nenda lote mama Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya, oh Nenda lote mama ♪ Ukatuma pastor wako aje anikemee Ukatuma pastor wako aje anikemee, mama Na madeni zangu ukazitangaza, eeh (Ukazitangaza, eeh) Na madeni zangu ukazitangaza, eeh Mitandaoni ♪ Shemeji zangu ndugu zako tukionana Waambie sisi bado rafiki, eeh Wasinipite barabarani, mama, oh Umeenda lote mama Umeenda lote mama Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya, oh Basi nenda lote mama Nenda lote mama Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya, oh Nenda lote mama Nenda lote mama